
Njia sahihi ya kunyonyesha mtoto
Chagua mkao mzuri ama badili mkao mara unapokuwa umechoka Kumbuka mtoto anatakiwa anyonye chuchu moja kwa muda wa dakika 20 kabla ya kubadilisha titi jingine. Usimkatishe mtoto kunyonya kabla ya muda huo haishauriwi kiafya. Kadri mtoto anavyonyonya ndivyo kichochezi mwili cha prolactine oxytocin hutolewa kutoka katika ubongo na kuzidi kuruhusu utengenezaji na utoaji wa maziwa katika titi.
Read More
Lishe Bora kwa Mama Anayenyonyesha
Lishe bora kwa mama anayenyonyesha ni muhimu sana kwa afya yake na ukuaji mzuri wa mtoto wake. Mama anayenyonyesha anahitaji virutubishi vya kutosha ili kuzalisha maziwa yenye lishe bora kwa mtoto na kudumisha afya yake mwenyewe. Umuhimu wa Lishe Bora kwa Mama Anayenyonyesha Mama anayenyonyesha ana mahitaji makubwa ya nishati na virutubishi kwa sababu mwili
Read More