Maziwa ya mama

Maziwa ya mama yameonekana kuwa chanzo kizuri cha lishe kwa mtoto, wanasayansi wamekuwa wakiendelea kujifunza kuhusu mchanganyiko huo wa maziwa ya mama ili kuweza kutengeneza maziwa yanayofanana na mchanganyiko huo. ​ Kemikali za nukliotaidi zilizo kwenye  maziwa ya mama na baadhi ya maziwa ya fomula, zimeonekana kufanya  kazi kubwa katika kuimarisha mfumo wa kinga za

Read More