
Njia sahihi ya kunyonyesha mtoto
Chagua mkao mzuri ama badili mkao mara unapokuwa umechoka Kumbuka mtoto anatakiwa anyonye chuchu moja kwa muda wa dakika 20 kabla ya kubadilisha titi jingine. Usimkatishe mtoto kunyonya kabla ya muda huo haishauriwi kiafya. Kadri mtoto anavyonyonya ndivyo kichochezi mwili cha prolactine oxytocin hutolewa kutoka katika ubongo na kuzidi kuruhusu utengenezaji na utoaji wa maziwa katika titi.
Read More
Maziwa ya mama
Maziwa ya mama yameonekana kuwa chanzo kizuri cha lishe kwa mtoto, wanasayansi wamekuwa wakiendelea kujifunza kuhusu mchanganyiko huo wa maziwa ya mama ili kuweza kutengeneza maziwa yanayofanana na mchanganyiko huo. Kemikali za nukliotaidi zilizo kwenye maziwa ya mama na baadhi ya maziwa ya fomula, zimeonekana kufanya kazi kubwa katika kuimarisha mfumo wa kinga za
Read More
Lishe Bora kwa Mama Anayenyonyesha
Lishe bora kwa mama anayenyonyesha ni muhimu sana kwa afya yake na ukuaji mzuri wa mtoto wake. Mama anayenyonyesha anahitaji virutubishi vya kutosha ili kuzalisha maziwa yenye lishe bora kwa mtoto na kudumisha afya yake mwenyewe. Umuhimu wa Lishe Bora kwa Mama Anayenyonyesha Mama anayenyonyesha ana mahitaji makubwa ya nishati na virutubishi kwa sababu mwili
Read More
Lishe Bora kwa Mtoto: Mwongozo wa Afya na Ukuaji
Lishe Bora kwa Mtoto: Mwongozo wa Afya na Ukuaji Wazazi wengi wanaweza kuandaa lishe ya watoto wao, lakini changamoto kubwa ni kutokujua viungo sahihi vya msingi na uwiano mzuri wa mchanganyiko wa chakula. Lishe bora inachangia ukuaji mzuri wa kimwili na kiakili wa mtoto. Umuhimu wa Mchanganyiko Sahihi wa Chakula Watoto hukua kwa kasi zaidi
Read More
ASALI YA ASILI
Asali ya asili ni matunda ya asili yanayotokana na mbee zinazokusanya nectar kutoka kwa maua mbalimbali. Asali hii inajulikana kwa ladha yake tamu, rangi nzuri, na virutubisho vya kipekee vinavyosaidia afya ya mwili na akili. Inajivunia kuwa 100% asili, isiyo na kemikali wala viambato vya bandia. Asali hii ni chanzo cha antioxidants, vitamini, madini, na
Read More
UNGA WA ROSELLA + BEETROOT
Unga wa Rosella (Hibiscus) na Beetroot ni mchanganyiko wenye nguvu wa mimea asilia unaotoa lishe bora kwa mwili wako. Unga huu unatokana na maua ya Rosella yaliyokaushwa na kusagwa pamoja na mizizi ya Beetroot, bila kemikali wala vihifadhi bandia. Rosella inajulikana kwa kuwa na vitamini C nyingi, inayosaidia kuimarisha kinga ya mwili, huku Beetroot ikiwa
Read MoreUNGA WA ALIZETI
Unga wa alizeti ni bidhaa ya asili inayopatikana kutokana na mbegu za alizeti zilizosagwa kwa uangalifu mkubwa ili kuhifadhi virutubisho vyake vyote. Unga huu ni tajiri wa mafuta yenye afya, protini, nyuzinyuzi (fiber), vitamini E, na madini kama vile magnesiamu, chuma, na kalsiamu. Ni chaguo bora kwa afya ya moyo, ngozi, nywele, kinga ya mwili,
Read More
TETELE – UNGA WA MBEGU NYEUSI ZA MABOGA
Tetele ni unga wa asili uliotengenezwa kutokana na mbegu nyeusi za maboga zilizo kaushwa na kusagwa kwa uangalifu ili kuhifadhi virutubisho vyake vyote. Unga huu ni tajiri wa protini, mafuta mazuri, nyuzinyuzi, na madini muhimu kama vile zinki, magnesiamu, chuma, na kalsiamu. Ni lishe bora kwa afya ya moyo, kinga ya mwili, mifupa, ngozi, na
Read More