
Njia sahihi ya kunyonyesha mtoto
Chagua mkao mzuri ama badili mkao mara unapokuwa umechoka Kumbuka mtoto anatakiwa anyonye chuchu moja kwa muda wa dakika 20 kabla ya kubadilisha titi jingine. Usimkatishe mtoto kunyonya kabla ya muda huo haishauriwi kiafya. Kadri mtoto anavyonyonya ndivyo kichochezi mwili cha prolactine oxytocin hutolewa kutoka katika ubongo na kuzidi kuruhusu utengenezaji na
Read More