POMBE NA UJAUZITO

Kuacha matumizi ya pombe wakati wa ujauzito ni moja ya njia ya kuzuia kupata madhaifu ya kuzaliwa kwa kichanga na matatizo kadhaa yanayoweza kutokea kwa kichaga kutokana na matumizi ya pombe wakati wa ujauzito. Madhara haya ya pombe huweza kuathiri akili ya mtoto na kupelekea uwezo duni wa mtoto kujitambua na dalili zingine ambazo huashiria Mtoto

Read More

Vyakula hatari kwa mama mjamzito

Wakati wa ujauzito, ni muhimu kwa mama mjamzito kuepuka vyakula ambavyo vinaweza kuhatarisha afya yake na ya mtoto anayekua tumboni. Vyakula vifuatavyo vinapaswa kuepukwa: Vyakula ambavyo havijaiva vizuri au vibichi Vyakula vibichi au visivyopikwa vizuri vinaweza kuwa hatari kwa wanawake wajawazito kwa sababu vinaweza kubeba bakteria, virusi, au vimelea vinavyoweza kusababisha maambukizi mabaya kwa mama

Read More

UNGA WA DAGAA

Unga wa dagaa ni bidhaa ya asili inayotokana na dagaa waliokaushwa na kusagwa ili kupata unga laini wenye viwango vya juu vya protini, madini muhimu kama kalsiamu, fosforasi, na chuma, pamoja na mafuta mazuri yanayosaidia afya ya mwili. Unga huu umetengenezwa kwa dagaa safi wa ziwa au bahari, bila viambato vya kemikali, kuhakikisha unapata virutubisho

Read More