UNGA WA DAGAA

Unga wa dagaa ni bidhaa ya asili inayotokana na dagaa waliokaushwa na kusagwa ili kupata unga laini wenye viwango vya juu vya protini, madini muhimu kama kalsiamu, fosforasi, na chuma, pamoja na mafuta mazuri yanayosaidia afya ya mwili. Unga huu umetengenezwa kwa dagaa safi wa ziwa au bahari, bila viambato
Read More

UNGA WA LISHE

Unga wa lishe huu ni mchanganyiko wa viungo vya asili vinavyosheheni virutubisho vya hali ya juu kwa ajili ya afya na ustawi wa mwili. Umetengenezwa kutokana na mahindi lishe, viazi lishe, mbegu za maboga, na almonds, viungo vyote vikiwa vimechakatwa kwa njia bora ili kuhifadhi thamani yake ya lishe. Viungo
Read More

Join Our Newsletter